#2 Usajili ( Bongo La Biashara MS1, KP2)

Bongo La Biashara2

Wangapi Wamesajili Biashara Zao Kibera?

Katika harakati za wanabiashara wa kibera kuhakikisha kwamba biashara za zinaimarika, wengi husahau kwamba kusajili biashara za ndio jambo la kwanza na la muhimu, Wengine hutia hukataa kusajili kwa sababu mbalimbali. Katika kipindi cha leo tunazungumza na baadhi ya wanabiashara kutoka Kibera ambao wamesajili na hawasajili biashara zao kubaini, baadhi ya sababu ya kutojisajili na umuhimu wa kusajili biashara.

March 21, 2017

CONTACT US

Thank you for reaching out, we'll get back to you, asap.

Sending
or

Log in with your credentials

or    

Forgot your details?

or

Create Account