Bongo La Biashara

#1 Atafutaye hupata (Bongo La Biashara: Musimu wa kwanza, Kipindi cha kwanza)

Kwenye kipindi hiki cha kwanza tunakupa taswira ya Kibera kisha tunaangazia baadhi ya matatizo yanayoendelea kurudisha nyuma kibera na njia ambazo  baadhi ya wanabiashara wamechukua hatua kutatua matatizo hayo kwa kuanzisha biashara.

Kipindi kimehaririwa na Michael Okiri (Mikke Mzeyya)

Nyimbo za mandhari ya kipindi hiki zilitungwa na bingwa Shamir.

Shukrani kwa Abubakar Juma kwa kusaidia kunukulu kipindi hiki

CONTACT US

Thank you for reaching out, we'll get back to you, asap.

Sending
or

Log in with your credentials

or    

Forgot your details?

or

Create Account